Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Imeanza Longido kama pilot (majaribio) na imefanikiwa kwa aslimia 100 baada ya Hakimu kugoma kusign fomu ya mgombea udiwani wa CHADEMA. Kilichofuata ni mgombea wa CCM kutangazwa kupita bila kupingwa na wana CCM na Polepole wao wakashangilia hadi kuchanganyanyikiwa kama mazwazwa.
Hivyo 2020 hakuna uchaguzi maana wagombea wa CCM wa udiwani na ubunge watatangazwa na wasmamizi kuwa wamepita bila kupingwa.
Pia Jaji anaweza naye asikubali kusign fomu za Mgombea urais wa CHADEMA, lakini ata sign za Dovutwa ili kuuhaada ulimwengu kuwa uchaguzi wa Rais unafanyika. Lakini siku 2 za mwisho atatangaza kuunga mkono Mgombea wa CCM.
Kama haya si kweli nawapa changamto, yule Hakimu wa Longido kachukuliwa hatua gani na mahakama? Jibu unalo- KAPANDISHWA CHEO.
NB: Mahakama sasa ni moja ya jumuiya za CCM kama ilivyo jumuiya ya wazazina UVCCM.