Nimejiridhisha pasina shaka kuwa Rais Samia alikuwa hajajiandaa kuwa amiri jeshi mkuu.
Hivyo wakati wa uchaguzi 2025, nitaungana na Watanganyika wenzangu kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye.
Kwa sababu,
1. Uongozi wake umepwaya ni wa vitisho na mabavu.
2. Utawala wake hauzingatii utawala wa sheria.
3. Hauthamini utu watu anaowaongoza anasema ‘Kifo ni kifo tu’, Ngorongoro nk.
4. Ananyanyasa wapinzani wake wa kisiasa.
5. Ananyanyasa wanaharakati na wakosoaji wa serikali, hapendi kukosolewa.
6. Anafumbia macho utekaji, mauaji yanaendelea nchini
7. Hathamini maliasili za taifa.
8. Hana ABC za uchumi, taarabu na vitu visivyo na msingi ndio kipaumbele kwake.
9. Hana upendo na Watanganyika, na mwisho.
10. Hana tofauti na mtangulizi wake.