2020 Tusipangiane

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
7,512
Reaction score
23,925
2020 Usije kunielekeza mtu wa kumpigia kura maana nilijiandikisha mwenyewe, na kura nitapiga mwenyewe!!

Mimi huwa siingiliwi mambo yangu maana najua ni nani awe rais na asiwe rais, ukinipangia ndiyo utakua umeharibu kabisaaa

[HASHTAG]#Tukutane[/HASHTAG] October 2020 #
 
yan mtu asijenipangia kabisa...nikiover speed gar n yangu na uhai n wangu
 
Mm najiamn mzuri sipangiwi Nani anioe ntachagua mwenyewe Nani wa kunioa na Nani wa kununua bundle kila siku, lol
 
Ccm hoyeee

Na bado tunaendelea kuinyoosha nchi

Magufuli for life

2020 tusipangiane [emoji124]
 
Hata mimi 2020 sitaki kusikia maspika yenu yakita kunipangia mtu wakumpigia kura
 
Hata mimi 2020 sitaki kusikia maspika yenu yakita kunipangia mtu wakumpigia kura
Na maspika yao yakiimba nyimbo za yule marehem, eti someni namba kama darasa la kwanza wanakodoa macho ubaoni
 
Tusiingiliane tumekutana kimjini mjini tuachane kimjini mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…