Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #201
Iondoe Taifa StarsIla siku hizi timu za Afrika tume improve jamani yaani soka linaonekana sio ile butua butua.
Mechi inavutia.
Wanakimbia hatariNapenda fighting spirit ya Cameroon
Kweli Mkuu. Sisi bado sana.Iondoe Taifa Stars
Kuna winger mmoja anacheza napoli adam ounas ni balaaa huyo leo kuna fullback wa ghana atatoa ulimi njeMechi kali na ya kukata na shoka leo itakuwa baina ya Morocco na Ghana saa 1:00 usiku
Hii mechi si ya kukosa mkuu japo nawapa nafasi zaidi MoroccoKuna winger mmoja anacheza napoli adam ounas ni balaaa huyo leo kuna fullback wa ghana atatoa ulimi nje
Hii yaani macho kodoo kwa chipa ya mzungu hamna kutoka...ata mbususu ipite mbele yako unaizaba kibao itoke hapo mbele uangalie watu wanavyo tembeza mpiraHii mechi si ya kukosa mkuu japo nawapa nafasi zaidi Morocco
Mechi kali na ya kukata na shoka leo itakuwa baina ya Morocco na Ghana saa 1:00 usiku
Timu gani mkuu?Nami naisubiria hii
Mbususu unaichapa kofi sio?Hii yaani macho kodoo kwa chipa ya mzungu hamna kutoka...ata mbususu ipite mbele yako unaizaba kibao itoke hapo mbele uangalie watu wanavyo tembeza mpira
Unaichapa kofi unaiambie ebu nitolee ujinga wako hapa...nataka nione ounas anavyompindua pindua beki hapa.Mbususu unaichapa kofi sio?
Ngoja tuisubirie hii burudaniUnaichapa kofi unaiambie ebu nitolee ujinga wako hapa...nataka nione ounas anavyompindua pindua beki hapa.
Leo nakwamba kama yule kjana atacheza kuna beki wa ghana atakula nyasi
Lakini mi naona kama mechi rahisi tu Ghana watafungwa ,hata walipo hapo wamefika kwa fitna tuMechi kali na ya kukata na shoka leo itakuwa baina ya Morocco na Ghana saa 1:00 usiku
Yah ila kwenye mpira lolote linaweza kutokeaLakini mi naona kama mechi rahisi tu Ghana watafungwa ,hata walipo hapo wamefika kwa fitna tu
Ah kitasa hayupo tena jamani...dah. bonge moja la beki sema ubaguzi tuu but he deserves to be at manchester united na sio yule maguire