2021 AFCON Special Thread

Mbinu hii ya Misri (kupaki basi) na kuelekea Fainali na pengine kutwaa ubingwa inafanana sana na ile waliyoipitia Ugiriki wakati wanatwaa ubingwa wa Euro 2004 pale Ureno
 
Mbinu hii ya Misri (kupaki basi) na kuelekea Fainali na pengine kutwaa ubingwa inafanana sana na ile waliyoipitia Ugiriki wakati wanatwaa ubingwa wa Euro 2004 pale Ureno
Dah umenikumbusha mwamba Angelos Charistios kama sijakosea jinaalikuwa namba 9 hatari sana. Jamaa alikuwa mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…