Gabaski anajitahidi kudaka kama Manula
Nafasi kubwa anapewa yule mwingine sijui elshanyw...huyu mshenzi kamprove mrong ...
Huyo ananogesha tu ila ukweli anaujuaManula hafiki ata robo ya hili baunsa gabaski
umerudtanesco, hata mda huu?
Koulibaly amepataaaaa...amewapa matumaini wenzakeNahodha Koulibaly anaenda kupiga penati ya kwanza...taratibu
Wacameroon walipeleka huko wakaishia kutokaHuyu kipa wa misri wampelekee kushoto maana kulia anafata sana
Wacameroon walipeleka huko wakaishia kutokaHuyu kipa wa misri wampelekee kushoto maana kulia anafata sana