2021 AFCON Special Thread

Salaha alikua anaombea mane akose penalt, maisha sio poa
 
Mane amweka mfukoni Salah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
naona anampa pole hapa..
Oyaaa tulia mwana we wangu kule Liverpool mbona[emoji1787][emoji1787]
 
Senega senega
hahahahahah itamke Kwa rafudhi ya kihehe
Senegaaaaaaa

Yaani Senegal Africa!
😁😁🔥🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…