ππΌππΌππΌMisri anafungwa na senegal kwahyo msikariri
Salaha alikua anaombea mane akose penalt, maisha sio poa
Hongera MchocheziππΌππΌππΌ
Na UEFA Supper CupMendy kabeba UCL na Afcon ndani ya muda mchache tu
Ahlan wasahlan shukraniHongera Mchochezi
Ahlan wasahlan shukrani
Wiki ijayo anachukua club world cupNa UEFA Supper Cup
InshaallahTuombe uzima mkuu [emoji109]
Gabaski kafanya saves nyingi Sana otherwise Egypt alishakufa half time tu
Hii Mechi viatu vimetembea kinoma
Nimevutiwa Sana na performance ya gueye kajamaa kanaujua Sana pia yule beki wa kushoto Egypt ni moto mkali.
Rudini kwenu misri chief msituzugeAfuwan akhy
Huyu Gabaski naona ni bora kuliko Elshenawy
Na huyu aseeh hachoki yaani yuko fitiMwenye tambala kichwani, jamaa ni fire