Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Wapi timu za Afrika Mashariki?
Waarabu wana nguvu sana!! Senegal wanaweza wakawa challenge maana wana kikosi chenye muunganiko mzuriBado sijaona wa kuwazuia magiants hawa, (Algeria na Morocco) mmoja wao anaondoka na ndoo, mark my words
Kwa upande wangu nipo na Algeria, i love Algeria......naipa %100 kutwaa ⌛
Siku hizi wanadhibitiwa sio kama zamani, wangeweza kuja na ovarolTusubirie kuona maajabu ya jezi. Hasa hawa Cameroon.
Huwa wanaibuka tu na jezi za maajabu.
Na sijui kwanini timu nyingi za Africa wanatengeneza jezi zao kampuni ya kijerumani ya Puma?Tusubirie kuona maajabu ya jezi. Hasa hawa Cameroon.
Huwa wanaibuka tu na jezi za maajabu.
Team zangu zote za Afrika ya kaskazini:Algeria,Misri na Morocco
Na huo ndio ukweliNa ndiyo bingwa atatokea hapo