Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #41
Nigeria wana jezi nzuri sana
Yaani hawa waliokuwa wanapanga foleni kupata mkate wanashiriki wakati sie tunaangalia kwenye chupa ya mzungu...kweli mwinyi hakukosea ule usemi wake
Tuwasubiri uwanjani piaNigeria wana jezi nzuri sana
Kupanga ni kuchaguaYaani hawa waliokuwa wanapanga foleni kupata mkate wanashiriki wakati sie tunaangalia kwenye chupa ya mzungu...kweli mwinyi hakukosea ule usemi wake
Hapo ndipo pamsingiTuwasubiri uwanjani pia
Ubunifu mzuriUzi wa ghana amazing sana
Yaani ukitaka kujua sie hatupo serious na huu mchezo ishu ya biashara united tosha kabisa kuonyesha ujinga wetu kama taifa.Kupanga ni kuchagua