Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #1,301
Naona kabisa kuna red card kwenye hii mechiHataki masihara
Bonge la goliKasahihisha makosa traooooore goooal
Bao kali sana!! Imezid kunoga ilipogonga mwamba na kurudi nyavuniBonge la goli
Bonge la AssistTupe update wazee cable Songea hawaonyeshi Afcon
Fala sana, anataka alete mbwembweHahaaa kdgo adondoke nayo ndani