Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Wa timu gani?Kipa ana hatari huyu
Wa timu gani?
assist gani, mbona umenipa mfupa bila steki kidogo?Bonge la Assist
Hahahaha, assist ya outer (kofi) kuelekea kwenye build up ya goli ya Burkina Fasoassist gani, mbona umenipa mfupa bila steki kidogo?
Beki bwege huyu wee tayari una yellow alafu wavuta mtu shatiDaah Red card kwa beki kisiki wa Gabon
Gabon game imewashinda hiiGabon ni panic ama??
Jaman huyu traore anakusanya kijiji sijapata kuona