Anakipiga Aston Villa huyooJaman huyu traore anakusanya kijiji sijapata kuona
1-1
Its not over until its over
Spirit ya wenzetu kupambana iko juu sana.1-1
Its not over until its over
Kabisaa mkuu, tena jamaa wakiwa pungufu
Line2 kawaonea Gabon Hakuna offside pale.Hii mechi imenikumbusha Fainali ya Uefa Champions League mwaka 1999, Man Utd walisawazisha dk ya mwisho kabisaaa baada ya kuwa nyuma kwa goli 1-0 muda mwingi wa mchezo
Halafu mwamuzi wakati alikua ameona vizuri tu angeacha ile move iendelee tuLine2 kawaonea Gabon Hakuna offside pale.
Yah, pia alitakiwa aache ile move mpk mwisho kama Gabon wangefunga wangeenda kuchungulia VARLine2 kawaonea Gabon Hakuna offside pale.