Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #1,361
Hii mechi ikienda penati burkina faso wanatolewaHii mechi imenikumbusha Fainali ya Uefa Champions League mwaka 1999, Man Utd walisawazisha dk ya mwisho kabisaaa baada ya kuwa nyuma kwa goli 1-0 muda mwingi wa mchezo
Iko wazi kabisaaaHii mechi ikienda penati burkina faso wanatolewa
Hizi kadi zishakuwa nyingRefa kamfata mchezaji wa benchi wa Gabon aliyekuwa anajaribu kuleta kelele na usumbufu, kampa kadi ya njano😂
Refa anapaswa wakati mwingine atumie busara na kutoa onyo la mdomoHizi kadi zishakuwa nying
Kupitia mechi hii jaribu kuiweka Stars katika nafasi ya Gabon, hali ingekuwaje?
Performance yake nzuri sanaHuyu kipa wa Gabon atakuwa man of the match
Sana kaokoa kama 3 hivi za waziPerformance yake nzuri sana