Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #1,381
Nawpa nafasi Gabon ya kufuzu, wewe je? Tutajie ubashiri wako...
1-0Denis wa Gabon anaenda kupiga...Anapata
1-1Kabore wa Burkinabe...anapata
Mpigaji alionekana kama ana mapepe lakini kamuuza uzuri kipaAlex wa Gabon anaenda kupiga mkwaju wa pili....Anapata