Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
Hakuna mbeleko pale, Traore amecheza faulo ya kijinga sana,Mbeleko kwa wenyeji Cameron ๐๐
Yeah, walau waje second half na mbinu mpyaDkk hizi ni sahihi wapaki,wamechoka waende mapumziko.
Tena faulo ya kijinga sanaHakuna mbeleko pale, Traore amecheza faulo ya kijinga sana,
HahahahMnooo utasema njugu
Heheee hawa BFA wanacheza rafu sana
tuta jingine
2-1
Penati za mchongo
Awa ndo vijana wa kanali Dambuya?
Refa mpuuzi faulo nyepesi hizi anatoa penati, pumbavuPenati ya pili? Sasa mbona mbeleko mapema sana
Awa ndo vijana wa kanali Dambuya?
Chama langu ilo.
Refa mwarabu nikajua atakuwa timamu kumbe nae walewale๐ฎRefa mpuuzi faulo nyepesi hizi anatoa penati, pumbavu
Wana uzi mkaliChama langu ilo.
AlgeriaRefa anatokea nchi gan