Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #1,801
Unaweza ukaleta wewe...usiishie kulalamika tuUzi hauna hata picha si mpakue huko kwingine mlete tuone 😹😹
Cameroon wanautafuta kwa tochiHawa Comoro bila kufanyiwa figisu walikuwa wanampiga Cameroon za kutosha
Sema Aboubakar analijua goliOffside
Yeeeaahh, Cameron alikua anakufa hapaHawa Comoro bila kufanyiwa figisu walikuwa wanampiga Cameroon za kutosha
Hahaha, pale jamaa alikuwa hana la kufanya, alifanya kuchungulia tu.Kipa kahakikisha kwa macho😂
Jamaa siku hizi kawa mzinguaji kinoma, hana msaada kabisaAfadhali Choupo Moting katoka
Kabisa mkuu, wameupiga mwingi sanaSasa naamini Hawa Commors wavekuwa full, hakika Cameroon angakaaa
Kwa mweli jamaa wanajua wao kwenda afcon haikuwa bahatisha nduluteSina cha kuwadai Comoros uwezo mmeonyesha ila mmenyongwa na fitna za CAF
Hahahah😂😂Hata ikuwekwa game saizi Aboubakar vs Peter Banda naamini kabisa Aboubakar nje. Leo ndio safina ya Cameroon inazama, hakuna timu pale kabda ibebwe kwa mbeleko.