Yaani hata sijutii kwa taifa stars kukosa haya mashindano maana tungetia aibu, jamaa wanaupiga mwingi mnoIla siku hizi timu za Afrika tume improve jamani yaani soka linaonekana sio ile butua butua.
Mechi inavutia.
Tungeishia kuwalaumu akina Manula😂Yaani hata sijutii kwa taifa stars kukosa haya mashindano maana tungetia aibu, jamaa wanaupiga mwingi mno
Umeonaee. Na ndio maana hata hii Sub yake kama hajaifurahia.Anatafuta hat trick kwa nguvu
Tungeishia kuwalaumu akina Manula[emoji23]
Kabisa Mkuu. Hamna cha maana ambacho tungefanya sababu wenzetu wametuacha mbali mno kisoka.Yaani hata sijutii kwa taifa stars kukosa haya mashindano maana tungetia aibu, jamaa wanaupiga mwingi mno
kwa penatiFT
CMR 2 BFA 1
Huyu kazaliwa na bahati tuu ndio maana yupo bayernNimechoka mtu anatokea Bayern Munich halafu anakaa nje.
Hatari sana. 🤣 Wakati huku kwetu mara nyingi huwa first eleven ya National Team inaangalia vilabu.
Hilo kombe ni la Ivory Coast.Wana kikosi kizuri naamini wataleta ushindani mzuri
Ngoja tuone, japo siwapi nafasiHilo kombe ni la Ivory Coast.
DuuuhCameroon wamebebwa! Kama yanga
Yah! Inawezekana sababu hata kiwango chake hakitishi.Huyu kazaliwa na bahati tuu ndio maana yupo bayern
Mkuu umesahau kuna timu za Waarabu na ziko vizuri mno.Hilo kombe ni la Ivory Coast.
Hamna mitu kinakera kama mchezaji anaingia sub alafu hana impact yoyote anaruka ruka tuu kama vile yanabyoruka mbupuz zake ndani ya boxerYah! Inawezekana sababu hata kiwango chake hakitishi.
Si umeona kama pale kaingia lakini hamna cha mana amefanya.
Umeonaee. Sababu alipaswa awe na jipya ila imekuwa tofauti.Hamna mitu kinakera kama mchezaji anaingia sub alafu hana impact yoyote anaruka ruka tuu kama vile yanabyoruka mbupuz zake ndani ya boxer