Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Playoff Hii Mwaka ni vipaji+hustling. Sema hao Atlanta nao bwana eeeh, wanakichafua haswaItakuwa powa sana kama Phoenix na Bucks wataingia Finals, for either of one The Greek Freak or Devin Booker!
Bucks wanachukua hii kitu .Completely unexpected Mkuu! It seems Bucks for the first time in the franchise history are on their way to 2021 NBA Finals.
Maswala ya kukariri flani atakula fagio msimu huu hakuna Mkuu. Hakuna underdog this time Mzee Wangu, kwa Sasa Ni uwezo, jitihada na vipaji Ndio Huamua matokeo Mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]Mwaka huu bingwa Ni bucks
Trust me hao wote new comers hawana experience na finals .
Namwona Giannis ,jrue holiday,pj Tucker wakibeba ubingwa
Watu walisema Playoffs ya NBA Ni Ngumu umeshaanza kutabiri tena hahahaa. Hebu nipe some points za kwa nini Bucks wanachukua NdooBucks wanachukua hii kitu .
Last year walicheza na Lakers finals .
Bucks wanachukua hii kitu .
Last year walicheza na Lakers finals .
Are you sure? End of third quarter Hawks 88, Bucks 85! Yetu macho...One thing I am almost sure of is that ubingwa Bucks watauota tu!Mwaka huu bingwa Ni bucks
Kupigwa nyumbani kwako katika mchezo wa kwanza mbele ya mashabiki kunakatisha tamaa...! Trae Young kawatoboa point 48! Kwa mabavu nawavulia kofia Bucks na kama ungekuwa mchezo wa mieleka wangeshinda asubuhi!Who knew that Hawks will steal home court advantage in the first game!? 2021 NBA Playoffs unpredictability continues.
Kupigwa nyumbani kwako katika mchezo wa kwanza mbele ya mashabiki kunakatisha tamaa...! Trae Young kawatoboa point 48! Kwa mabavu nawavulia kofia Bucks na kama ungekuwa mchezo wa mieleka wangeshinda asubuhi!
Hawa Hawks wana Moto aiseeAre you sure? End of third quarter Hawks 88, Bucks 85! Yetu macho...One thing I am almost sure of is that ubingwa Bucks watauota tu!
Update: 5 seconds to go and Hawks are ahead by a point!
And now with 4.6 seconds to go Hawks are ahead by three points!
GAME OVER...Hawks win 116-113 and they lead the series 1-0!
Mna bahati mnaweka mizigo ya maneno matupu la sivyo mngeumia sana tu. Kuna uwezekano Phoenix Suns kupata kipigo cha mwaka leo lakini mimi mjanja siweki mzigo. Jana watu wanaoweka mizigo ya kweli kweli wameumia na wamepata hasara kweli kweli...Usiku wa leo kuna game ya Clippers v/s Phoenix Suns,
Naweka mzigo kwa Phoenix Suns
Sio maneno ni kweli nasafiri nao leo. Suns nawaona wako Moto sana kuliko Clippers.Mna bahati mnaweka mizigo ya maneno matupu la sivyo mngeumia sana tu. Kuna uwezekano Phoenix Suns kupata kipigo cha mwaka leo lakini mimi mjanja siweki mzigo. Jana watu wanaoweka mizigo ya kweli kweli wameumia na wamepata hasara kweli kweli...
Mna bahati mnaweka mizigo ya maneno matupu la sivyo mngeumia sana tu. Kuna uwezekano Phoenix Suns kupata kipigo cha mwaka leo lakini mimi mjanja siweki mzigo. Jana watu wanaoweka mizigo ya kweli kweli wameumia na wamepata hasara kweli kweli...