2021 ni fireee

Pisi kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,234
Reaction score
2,535
Heri ya mwaka mpya


Kuna siku nilijikuta tu nikasema Embu Leo niweke mkeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikashindaaaa hadi sasa nimekosa mara mbil tu (hela niliyoiweka ni ndogo lakini isharudi[emoji1787])


Inahitaji moyo wa ziada


Nimegundua ukiweka mchezo mmoja mmoja Ndio unashinda


Nikishinda 1000, 500 naiweka nyingine naendelea[emoji1787][emoji1787]jana nilishinda 10,770 (ikifika laki 3 naanza kakibiashara flani hivi)

Mods msifute uzi wangu plssss!!



Sijui mpira hata kidogoooo nimebahatisha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha mrembo pisi kali umenifurahisha na mia nane zako ila hongera big up
 
Kuna Dada Mbagala aliwahi baharini Jackpot million 400 ..
Hajawahi chess kabla na hata hajui alichochagua...

Huku Kaka zake wanacheza kila siku hawashindi

Kweli ni bahati tu m mwenyewe sijui chochote nachagua tu matokeo yakitoka nimeshinda[emoji1787][emoji1787] basi naona rahaaaa
 
Duuh karibu sana ktk hii dunia ya Wakamaria yaani ni sawa umeanza kula bangi au pombe kuja kuacha labda Yesu arudi,Anyway Umeanza vzur wengi wanaanza na Mechi 20,30,50+ kwenye mkeka mmoja aafu wanaweka Jero wanategemea kupiga Million kitu ambacho kiuhalisia ni ngumu sanaaaa

Nahakika ukiendelea utazijua timu vizur mpaka Ligi utazielewa lakini Usipost mikeka yako ulioshinda au ilio active kuna watu wanamacho Mabaya aisee lakini mwisho wa yote Maendeleo hayana Chama ni MITANO TENA

OVA
 


Unacheza Kamari ??!!
 
Mrembo, nifundishe na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
uwapo jf zingatia yafuatayo

kanuni ya 1 : usiri
kanuni ya 2 : usiri
kanuni ya 3 : usiri
kanuni ya 4: usimwamini mtu
kanuni ya 5: usiamini kila taarifa
kanuni ya 6: kuwa makini

kanuni ya 7: miliki ID zaidi ya 1

Note: wanawake wa ukweli ukweli waliopo jf ni 17 tu
 

Kwahiyo m ni mwanaume[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…