2021 Professional Diversity Conference

2021 Professional Diversity Conference

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Dodoma, Tanzania

the 2021 Professionals’ Diversity Conference & Exhibition from Monday 26th to 31st July 2021 at Royal Village Hotel in Dodoma.




Kuelekea Kongamano la Anuai za Kitaaluma Dodoma kuanzia target 26 Julai mpaka 31 Julai 2021

Kulipa kodi, kuuziana nyumba, miamala ya gesi na madini, makosa ya kifedha cyber crime n.k

Kuwasilisha muswaada bungeni, uandaaji mswada anaoweza kuuanda mwananchi wa kawaida ufike bungeni n.k

Nafasi ya uwekezaji, viwanda na trade development , tourism / utalii

Utatatuzi wa migogoro ya kibiashara ya ndani na nje ya nchi.

Real estate katika majiji na miji.

Uadilifu wa Mawakili, misingi na mipaka ya mawakili, mahusiano na mhimili wa Mahakama .

Source : Wakili TV
 
Back
Top Bottom