darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Hahahahaaaaaa! JF Kuna Mambo😀walitaka ifanane na range rover masikini
Yalikuwa Matoleo Ya Mwanzoni Yake Ila Kwa Sasa Wamejitaidi Kwa Kweli Kufanya Improvement Kubwa Kwenye Magari Yao Kuanzia Body, Engine, Hadi SuspensionKumbe Kampuni ya TATA ina magari mazuri hivi! Sasa ni kwa nini sisi watu wa vijijini walituwekea zile siti kama mabenchi kwenye mabasi yao? Yaani ukisafiri kwenye yale mabasi ukifika mwisho wa safari yako mgongo lazima uume.
Uzuri wake ni kuwa ni hao hao tata wanamiliki rangerover na landrover pia pamoja na jaguarwalitaka ifanane na range rover masikini