Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Yanga ndio imeenda kucheza league ya loosers? Au anarudi nyumbani kucheza kidali poo na Mtibwa?Pot 1
Al-Ahly
Wydad
Espérance
Raja
Pot 2
Mamelodi
Zamalek
Horoya
Petro Luanda
Pot 3
Simba SC
Belouizdad
JS Kabyle
Al Hilal
Pot 4
Al Merrikh
Cotton Sport
Vipers
AS Vita/ RC Kadiogo
Labda apewe Zalan mwingine ndio ataingia ShirikishoYanga ndio imeenda kucheza league ya loosers? Au anarudi nyumbani kucheza kidali poo na Mtibwa?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Yanga ndio imeenda kucheza league ya loosers? Au anarudi nyumbani kucheza kidali poo na Mtibwa?
Watatukuta tumeshasajili vyuma vya nguvu dirisha dogo. Manzoki atakuwepoDraw itafanyika November tarehe bado haijajulikana.
Mechi 6 za group stage zitachezwa kuanzia Feb. 10 mpaka April 1
View attachment 2389930
Kwa Mkapa tuna Point 9, ugenini tuna point 3, Jumla point 12Utabiri wangu wa kundi kwa namna pot zilivokaa
Esperence.
Zamalek.
Simba.
Cotton sport.
Hayo sio makundi bali posts ambazo zimepangwa ili kutoa team moja kwenye kila pots ili kutengeneza group stagesHii ni official au pendekezo la wadau?
Katika hizo pots 4 ndio draw ya makundi itafanyika, kila group itakuwa na timu moja kutoka Pot 1, 2, 3, na 4.Hii ni official au pendekezo la wadau?
Esperence ana point zetu 4.Utabiri wangu wa kundi kwa namna pot zilivokaa
Esperence.
Zamalek.
Simba.
Cotton sport.
hapo tunakua tushamaliza kazi[emoji123]Kwa Mkapa tuna Point 9, ugenini tuna point 3, Jumla point 12