2022 Qatar World Cup gone crazy! Wanaodhaniwa kushinda hawashindi, wanaodhaniwa kushindwa wanashinda!

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
933
Wanaodhaniwa kushinda hawashindi wanaodhaniwa kushindwa wanashinda!

He nchi za kiarabu na pacific (Japan) confidence imeongezeka coz psychologically wanachikulia Qatar as home ground?

Just got the feeling will Arabs countries take Budweiser all beer stock should they win world cup?

2022 Qatar WC, the most dramatic One so far.

Poleni sana wazee wa ku bet.
 
Hoja uliyoleta ya pili hapa haina mashiko
 
Germany nafikiri hata WC iliyopita walitolewa kwenye makundi na safari hii hilo jinamizi linamwandama kwa sababu mechi ijayo na Spain ana shughuli pevu na huenda akafungashiwa virago hapo.
 
Germany nafikiri hata WC iliyopita walitolewa kwenye makundi na safari hii hilo jinamizi linamwandama kwa sababu mechi ijayo na Spain ana shughuli pevu na huenda akafungashiwa virago hapo.
Ushoga ngoja wakome
 
Ushoga ngoja wakome
Hilo neno halipaswi kutamkwa mara kwa mara kwa sababu lina ukakasi sana na ni uovu ambao umesambaa hadi hapo ulipo na sio uzunguni tu hadi uko uarabuni japo wanaficha sana watu wa nje wasijue.

Wewe kutamka hili neno mara kwa mara ni kama unalishabikia vile, very hopeless.
 
Umeanza vizr ila umeshindwa kuelewa mkuu pole
 

=
Hadi muda huu Argentina 2 | France 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…