2023-24:NBA NEW SEASON

2023-24:NBA NEW SEASON

Alexprosper

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
3,286
Reaction score
6,110
Kwa wale wapenzi wa mpira wa kikapu wa marekani yani NBA unakaribia kuanza jumanne hii 24 oct itakuwa ni moto sana kutokana na jinsi timu zilivyo kipanga tunategemea itakuwa msimu wa ushindani na ubora mkubwa sana
 
20231021_082040.jpg
 
basket nzuri sana kuibetia, huwa inanipa maokoto hasa NBA, tunalinda mikeka jf usiku wa manane.
kutokufuatilia ligi na wachezaji inawacost sana wakamaria. utakuta stats zote za total goals zinabalance, mkamaria anaona yes, hii mechi ni uhakika kwasababu stats zimebalance, anaweka mkeka. baadaye mkeka unachana.
 
Back
Top Bottom