Alexprosper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,286
- 6,110
- Thread starter
-
- #21
Ee uko sawa mkuuDrafted mzee au nasema uongo ?
Yuko vizuriView attachment 2789071
ja morant 3shooter mwingine huyu kamwili kadogo ila [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Angebadili timuView attachment 2789071
ja morant 3shooter mwingine huyu kamwili kadogo ila [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yuko vizuriBig man davies
View attachment 2789070
Mchezo wa mabishoo na watu wenye pesaMchezo wa mijitu yenye miili mikubwa 🔥🔥🔥
Ukiandaa mkeka nitagSisi watu wakubet tunawangoja msimu uliopita wakata wa ligi ya NBA inaanza nilipiga million 1 ngoja nione na msimu huu
Huyu mjinga na kaumbo kake uwezi kudhani ndo yule shooter hatari sana
Tutakutana kule kwenye jukwaa kubwaUkiandaa mkeka nitag
Naam ukiweka Kule mkeka wa basketball nitagTutakutana kule kwenye jukwaa kubwa
Mchezo wa mabishoo na watu wenye pesa
Yap lakers probablyAngebadili timu
Kasumbua sanaHuyu mjinga na kaumbo kake uwezi kudhani ndo yule shooter hatari sana
Akiama anaweza akaleta changes kubwaYap lakers probably
Jamaa anajuaBest
Binafsi huwa nacheza over kwenye quarters na FT au home/away overkutokufuatilia ligi na wachezaji inawacost sana wakamaria. utakuta stats zote za total goals zinabalance, mkamaria anaona yes, hii mechi ni uhakika kwasababu stats zimebalance, anaweka mkeka. baadaye mkeka unachana.