2023 inakaribia kukata, michongo ya kutuboost ipo wapi?

2023 inakaribia kukata, michongo ya kutuboost ipo wapi?

EveJoe

Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
26
Reaction score
52
Tushaingia kipande cha pili cha mwaka 2023. Binafsi kuna malengo sijatimiza maana mifuko haijakaa poa kabisa. Mishahara haiongezeki ila majukumu sasa... dah! Kwa July hii michongo imejificha wapi aiseee
 
Back
Top Bottom