BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Naomba mwenye kujua ubora wa hizo tablets anisaidie maarifa. Zote ni TABLET PC with keyboards. Nataka nichukue moja kati ya hizo ila sina uzoefu nazo. Msaada tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa ushauri. Vipi ungenishauri nichukue aina gani yenye keyboard na ni tablet PC ukiacha hizi 2 ndugu.ubora hakuna kama bidhaa za apple,hilo nakuhakikishia,labda matumizi rafiki inaweza isiruhusu muingiliano na vifaa vingine kwa urahisi ikakukwaza.