B BANDOKITITA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,484 Reaction score 2,852 Feb 3, 2024 #1 Naomba mwenye kujua ubora wa hizo tablets anisaidie maarifa. Zote ni TABLET PC with keyboards. Nataka nichukue moja kati ya hizo ila sina uzoefu nazo. Msaada tafadhali.
Naomba mwenye kujua ubora wa hizo tablets anisaidie maarifa. Zote ni TABLET PC with keyboards. Nataka nichukue moja kati ya hizo ila sina uzoefu nazo. Msaada tafadhali.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Feb 3, 2024 #2 ubora hakuna kama bidhaa za apple,hilo nakuhakikishia,labda matumizi rafiki inaweza isiruhusu muingiliano na vifaa vingine kwa urahisi ikakukwaza.
ubora hakuna kama bidhaa za apple,hilo nakuhakikishia,labda matumizi rafiki inaweza isiruhusu muingiliano na vifaa vingine kwa urahisi ikakukwaza.
B BANDOKITITA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,484 Reaction score 2,852 Feb 3, 2024 Thread starter #3 mkorinto said: ubora hakuna kama bidhaa za apple,hilo nakuhakikishia,labda matumizi rafiki inaweza isiruhusu muingiliano na vifaa vingine kwa urahisi ikakukwaza. Click to expand... Asante sana kwa ushauri. Vipi ungenishauri nichukue aina gani yenye keyboard na ni tablet PC ukiacha hizi 2 ndugu.
mkorinto said: ubora hakuna kama bidhaa za apple,hilo nakuhakikishia,labda matumizi rafiki inaweza isiruhusu muingiliano na vifaa vingine kwa urahisi ikakukwaza. Click to expand... Asante sana kwa ushauri. Vipi ungenishauri nichukue aina gani yenye keyboard na ni tablet PC ukiacha hizi 2 ndugu.