darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Hutakuja kumiliki hicho chuma. Kauki zako zinaongea mengiNipo Babati unaweza kuletea kesho asubuhi nikulipe vijisenti vyako vya mboga.
Muda huu namiliki Land Cruiser VDJ 200 nashindwaje kumiliki FJA 300 ?.Hutakuja kumiliki hicho chuma. Kauki zako zinaongea mengi
Inshaallah! Mwenyezi Mungu Akufanyie Wepesi Usisahau Kuja KutuungishaMy dream vehicle. One day, Inshaallah nitamiliki Machine kama hii
Maini Ya Ngisi KabisaMnyama huyo.