2024 nataka niwe mtu maarufu nijulikane Tanzania nzima kama Ndenjii

2024 nataka niwe mtu maarufu nijulikane Tanzania nzima kama Ndenjii

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
kila binadamu ana malengo mapya hasa pale anapoanza mwaka,

Katika moja ya malengo yangu natamani kuwa mtu maarufu ambae nitajulikana nchi nzima na africa mashariki, ni kitu gani kitanifanya nijulikane?

Kwa haraka mwaka 2024, hebu nipeni mchanganuo nitoke vipi?
 
Achia connection tu mkuu [emoji23][emoji23] Hakikisha ni kali kuliko zote [emoji16]
 
Back
Top Bottom