2024 Stories of Change Award Ceremony: Imebaki Siku 1 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

2024 Stories of Change Award Ceremony: Imebaki Siku 1 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285
SOC imesalia siku moja.jpg

One Day To Go! Hafla ya utoaji wa Tuzo za Shindano la Stories of Change Msimu wa 4 inatarajiwa kufanyika kesho, Septemba 21, 2024

Mwaka huu Washiriki wameonesha uwezo wa juu katika kuijenga 'Tanzania Tuitakayo' wakilenga kuboresha Uchumi, Elimu, Afya, Teknolojia, Kilimo, n.k.

Mbali na zawadi kutolewa kwa Washindi wa Maandiko Bora Usiku wa Septemba 21, 2024, Wazalishaji Bora wa Maudhui kutoka JamiiForums.com watatambuliwa na kutuzwa kwa mchango wao mkubwa katika Majukwaa yetu ya Kidijitali

jipya.jpg

Je, uko tayari kwa hiki kipya tunachokuletea?

Pamoja na kutangazwa kwa Washindi wa Maandiko Bora ya Msimu wa Nne wa Stories of Change na Waandaaji Bora wa Maudhui kutoka JamiiForums.com, kuna jambo jipya na la kipekee linakuja!

Uko tayari kwa hii 'surprise'? Hili halijawahi kutokea! Usiache kufuatilia ili usipitwe na lolote.
 
Back
Top Bottom