2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki saa chache kuwajua Washindi. Upo Tayari?

2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki saa chache kuwajua Washindi. Upo Tayari?

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285
SAA CHACHE ZIMEBAKI.jpg

Ile siku Imewadia! Bado saa chache kwenda kuwajua washindi walioibuka kidedea katika Msimu wa Nne wa Stories of Change 2024

Kupitia Maandiko yao, Mwaka huu (2024) Washiriki wameonesha ujuzi, maarifa na ubunifu wa hali ya juu, wakilenga kuboresha Sekta mbalimbali Nchini kwa Miaka 5-25, kupitia Dhima ya Shindano ya 'Tanzania Tuitakayo'

Mbali na Washindi wa maandiko bora kupewa tuzo, Wazalishaji Bora wa maudhui ndani ya JamiiForums.com pia watatambuliwa kwa mchango wao katika majukwaa usiku wa leo.

jipya.jpg

Kuna kitu kipya kinakuja, je mko tayari?

Pamoja na kutangazwa kwa Washindi wa Maandiko Bora ya Msimu wa Nne wa Stories of Change na Waandaaji Bora wa Maudhui kutoka JamiiForums.com, kuna jambo jipya na la kipekee linakuja!

Uko tayari kwa hii 'surprise'? Hili halijawahi kutokea! Usiache kufuatilia ili usipitwe na lolote.
 
Back
Top Bottom