JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,229
- 5,285
Zimesalia Siku 2 kuelekea Hafla ya utoaji wa Tuzo za Stories of Change Msimu wa 4.
Septemba 21, 2024 maandiko bora yenye tija yaliyoangazia katika kuijenga 'Tanzania Tuitakayo' ndani ya miaka 5- 25 yatazawadiwa.
Aidha Wazalishaji Bora wa Maudhui ndani ya JamiiForums.com watatambuliwa na kutuzwa kwa mchango wao mkubwa katika Majukwaa yetu ya Kidijitali usiku wa Septemba 21, 2024
Je, uko tayari kwa hiki kipya tunachokuletea?
Pamoja na kutangazwa kwa Washindi wa Maandiko Bora ya Msimu wa Nne wa Stories of Change na Waandaaji Bora wa Maudhui kutoka JamiiForums.com, kuna jambo jipya na la kipekee linakuja!
Uko tayari kwa hii 'surprise'? Hili halijawahi kutokea! Usiache kufuatilia ili usipitwe na lolote.