JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,229
- 5,285
Zimebaki siku 3 tu kufikia hafla ya utoaji wa Tuzo za Shindano la Stories of Change Msimu wa 4 inayotarajiwa kufanyika Septemba 21, 2024.
Kupitia maandiko yanayoangazia "TanzaniaTuitakayo" Washiriki wameonesha ujuzi, maarifa na ubunifu wa hali ya juu, wakilenga kuboresha Sekta mbalimbali Nchini kwa Miaka 5-25.
Aidha Wazalishaji Bora wa Maudhui ndani ya JamiiForums.com watatambuliwa na kutuzwa kwa mchango wao mkubwa katika Majukwaa yetu ya Kidijitali usiku wa Septemba 21, 2024.