2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki Siku 3 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285

Zimebaki siku 3 tu kufikia hafla ya utoaji wa Tuzo za Shindano la Stories of Change Msimu wa 4 inayotarajiwa kufanyika Septemba 21, 2024.

Kupitia maandiko yanayoangazia "TanzaniaTuitakayo" Washiriki wameonesha ujuzi, maarifa na ubunifu wa hali ya juu, wakilenga kuboresha Sekta mbalimbali Nchini kwa Miaka 5-25.

Aidha Wazalishaji Bora wa Maudhui ndani ya JamiiForums.com watatambuliwa na kutuzwa kwa mchango wao mkubwa katika Majukwaa yetu ya Kidijitali usiku wa Septemba 21, 2024.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…