2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki Siku 7 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285
7 Days.jpg

SaveTheDate! Hafla ya utoaji wa Tuzo za Stories of Change Msimu wa 4 inakaribia.

Mwaka huu Washiriki walionesha 'Nguvu ya Kalamu’ zao kwa mawazo, maoni na michango ya kipekee katika kuijenga 'Tanzania Tuitakayo' wakilenga kuboresha Uchumi, Elimu, Afya, Teknolojia, Kilimo n.k.

Mbali na zawadi kutolewa kwa Washindi wa Maandiko Bora Usiku wa Septemba 21, 2024, Wazalishaji Bora wa Maudhui kutoka JamiiForums.com watatambuliwa na kutuzwa kwa mchango wao mkubwa katika Majukwaa yetu ya Kidijitali
 
Washindi wanapatikanaje. Process zinakuwaje naona bado siku 7. Atujaona interview wala stage kuelekea washindi
 
Back
Top Bottom