JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,229
- 5,285
Septemba 21, 2024, Maandiko Bora yaliyoshinda katika Msimu wa 4 wa Stories of Change katika kuipendekeza Tanzania Tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25 ijayo yatatambulika.
Aidha, katika siku hii Wazalishaji Bora wa Maudhui ndani ya JamiiForums.com watatambuliwa na kupewa tuzo kwa mchango wao Mkubwa jukwaani.