darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Engine Type Yake Ni 2GD Yenye 2.4L Inayotumia Diesel TajiriType of Engine
Kwa Kumtumaini Mwenyezi Mungu Allah Subhana Wataala Hakuna Kinachoshindikana KwakeNdani ya miaka 5 kuanzia sasa nitakuwa nishaimiliki hiyo chuma.
Mniombee tu
Inshallah 🙏Kwa Kumtumaini Mwenyezi Mungu Allah Subhana Wataala Hakuna Kinachoshindikana Kwake
Ni Engine nzuri lakini binafsi napendelea 2GD yenye 2.8L.Engine Type Yake Ni 2GD Yenye 2.4L Inayotumia Diesel Tajiri
2.8L Ni 1GD Na Sio 2GDNi Engine nzuri lakini binafsi napendelea 2GD yenye 2.8L.
Ko zee lina tupanga au sio 😅2.8L Ni 1GD Na Sio 2GD
Labda Huenda Typing Error Au Alikuwa Hafahamu Vizuri Kuhusu HiloKo zee lina tupanga au sio 😅