2024 Toyota LandCruiser 70 Series inapata injini ya dizeli ya lita 2.8, lakini V8 inabaki

Mapank

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
4,130
Reaction score
6,097
Bei za Toyota LandCruisers zenye uwezo wa 1VD zimepanda hivi karibuni wakati Toyota ilipotangaza aina ya 2024 LandCruiser 70 Series itakayoendeshwa na injini ya dizeli ya 1GD 2.8-lita yenye cylinder nne inayoungwa automatic gear box, lakini habari njema ni kwamba V8 inabaki kwa ajili ya wakati.



 
Market za Africa HZJ IPO kama kawaida, changes ni Japan wanapata 1GD Auto badala ya 1GR Manual, Australia 1VD Manual au 1GD Auto (1GD ina nguvu kuliko 1VD Australia)

Nikashangaa Land Cruiser mkonga bila 1HZ sijui ingekuaje.
Maana ile engine ni Jiwe haswa halafu haina mambo mengi
 
1GD naipenda Sana toka imetokaga


Ipo kwa baadhi ya Prado haswa kwanzia 2020 engine Ni moja TU 1GD japo 2015 ilianza tumika kwa Prado pia


2 hiace

3 hilux


4 coaster new model


5 Fortuner latest kwanzia 2016 nadhani 1GD Ni option

Na baadhi ya magari ...Ilianza na 180hp kwa Sasa inatoa 200+ hp


Ina nguvu kuliko 1HDT ..inalingana au kuzidi kidogo 1VD single turbo..kuhusu kudumu sijui
 
2.8l lakini ina kifua balaa
 
2.8l lakini ina kifua balaa
Sio mbaya wameiboost Sana

Ikidumu na hp hizo Basi ukiweza fanya mapping ikaishia 150hp hio engine itakuwa na maisha marefu Sana

1HZ haina nguvu kiivyo ila Ni roho ya paka


Kuna coaster moja inakimbia sijapata ona nikawaza ingekuwa na 1VD ama 1GD ingekuaje

Wakati pale itakuwa labda Ni 1HDT ama 1HZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…