The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Angalia hiyo heading ndio utajua ulivyokurupuka. Huo mwaka dunia itakuwa imeshakuwa kitongoji sio kijiji tena.
Naunga mkono hoja, ila iwe ni bunge la 2030, bunge la 2025 lazima Tulia aendelee kuwa spika ili asiupoteze urais wa mabunge ya dunia hii.Haya ni mawazo yangu tu.
Zanzibar bado haijawahibkutoa Spika wa Bunge.
Kwa vile CCM wana mtindo wa kufanya mambo kivyaovyao. Sasa ni muda sahihi wa kuwapa Wazanzibar hii nasadi adimu ya Uspika baada ya Uchafuzi Mkuu 2025 ili amlinde Maza vizuri zaidi.
Tulia hapo alipofikia sasa tayari anafikiria top job.
Ushauri wa bure.
Mkuu, angalia Inbox huko, kuna tusi nimekutumiaHaya ni mawazo yangu tu.
Zanzibar wameshatoa Marais wawili; AHM na sasa Samia.
Zanzibar waneshatoa Mskamu wa Rais; Karume, Jumbe, Mwinyi, Shrine, Bilali ba Samia.
Zanzibar ishatoa Waziri mkuu; Salim Ahamed Salim.
Zanzibar ilishayoa Jaji Mkuu; Augustin Ramadhani.
Zanzibar bado haijawahibkutoa Dpika wa Bunge.
Kwa vile CCM wana mtindo wa kufanya mambo kivyaovyao. Sasa ni muda sahihi wa kuwapa Wazanzibar hii nasadi adimu ya Uspika baada ya Uchafuzi Mkuu 2025 ili amlinde Maza vizuri zaidi. Kama Maza hana huo mpango badi ajiandae kwa kipindi kigumu cha maisha yake ndani ya hii miaka 5.
Tulia hapo alipofikia sasa tayari snafikiria top job. Na yeye kuipata hatafanikiwa kuwa kwenye boat moja na Maza. Hivyonitabidi aanze kujitengenezea njia yake bila kumtegemea Maza smvsye hatakuwa maarufu by 2030.
Ushauri wa bure.
No Reform No Election.
Lazima🙄Naunga mkono hoja, ila iwe ni bunge la 2030, bunge la 2025 lazima Tulia aendelee kuwa spika ili asiupoteze urais wa mabunge ya dunia hii.
P
Hâta la 2030 Kwan Huko Zanzibar Kuna mtanganyika aliwahi Kuwa hâta diwani? Kwann wao wawe viongozi hukuNaunga mkono hoja, ila iwe ni bunge la 2030, bunge la 2025 lazima Tulia aendelee kuwa spika ili asiupoteze urais wa mabunge ya dunia hii.
P
Huyu mlie mpa urais ame fanya nini zaidi ya kuwapa wajomba zake rasilimali zetu.Haya ni mawazo yangu tu.
Zanzibar wameshatoa Marais wawili; AHM na sasa Samia.
Zanzibar waneshatoa Mskamu wa Rais; Karume, Jumbe, Mwinyi, Shrine, Bilali ba Samia.
Zanzibar ishatoa Waziri mkuu; Salim Ahamed Salim.
Zanzibar ilishayoa Jaji Mkuu; Augustin Ramadhani.
Zanzibar bado haijawahibkutoa Dpika wa Bunge.
Kwa vile CCM wana mtindo wa kufanya mambo kivyaovyao. Sasa ni muda sahihi wa kuwapa Wazanzibar hii nasadi adimu ya Uspika baada ya Uchafuzi Mkuu 2025 ili amlinde Maza vizuri zaidi. Kama Maza hana huo mpango badi ajiandae kwa kipindi kigumu cha maisha yake ndani ya hii miaka 5.
Tulia hapo alipofikia sasa tayari snafikiria top job. Na yeye kuipata hatafanikiwa kuwa kwenye boat moja na Maza. Hivyonitabidi aanze kujitengenezea njia yake bila kumtegemea Maza smvsye hatakuwa maarufu by 2030.
Ushauri wa bure.
No Reform No Election.
Naunga mkono hoja, ila iwe ni bunge la 2030, bunge la 2025 lazima Tulia aendelee kuwa spika ili asiupoteze urais wa mabunge ya dunia hii.
P
Kila mtu akae kwaoKwa anachotufanyia mzanzibar mwenzenu tunaomba msituingilie tena
Halafu kama tunasema ni muungano kuna sababu gani zakulazimisha lazima ku balance upande badala yakuangalia wanaofaa? Kuna nyakati tunakosa watubsahihi kwakua tunataka lazima mtu atoke Tanganyika au Zanzibar ?kwanini watu wasichagukiwe based na uwezo wao sio pahala pa asili yao kama Wazenji wana sifa waongoze Rais na makamanu na waziri mkuu na vivyo havyo KwawatamganyikaHaya ni mawazo yangu tu.
Zanzibar wameshatoa Marais wawili; AHM na sasa Samia.
Zanzibar waneshatoa Mskamu wa Rais; Karume, Jumbe, Mwinyi, Shrine, Bilali ba Samia.
Zanzibar ishatoa Waziri mkuu; Salim Ahamed Salim.
Zanzibar ilishayoa Jaji Mkuu; Augustin Ramadhani.
Zanzibar bado haijawahibkutoa Dpika wa Bunge.
Kwa vile CCM wana mtindo wa kufanya mambo kivyaovyao. Sasa ni muda sahihi wa kuwapa Wazanzibar hii nasadi adimu ya Uspika baada ya Uchafuzi Mkuu 2025 ili amlinde Maza vizuri zaidi. Kama Maza hana huo mpango badi ajiandae kwa kipindi kigumu cha maisha yake ndani ya hii miaka 5.
Tulia hapo alipofikia sasa tayari snafikiria top job. Na yeye kuipata hatafanikiwa kuwa kwenye boat moja na Maza. Hivyonitabidi aanze kujitengenezea njia yake bila kumtegemea Maza smvsye hatakuwa maarufu by 2030.
Ushauri wa bure.
No Reform No Election.
Unaota mkuu. Tanzania hii Rais ni habari nyingine. Kama huamini kamuulize Ndugai "Job"of Kongwa.Haya ni mawazo yangu tu.
Zanzibar wameshatoa Marais wawili; AHM na sasa Samia.
Zanzibar waneshatoa Mskamu wa Rais; Karume, Jumbe, Mwinyi, Shrine, Bilali ba Samia.
Zanzibar ishatoa Waziri mkuu; Salim Ahamed Salim.
Zanzibar ilishayoa Jaji Mkuu; Augustin Ramadhani.
Zanzibar bado haijawahibkutoa Dpika wa Bunge.
Kwa vile CCM wana mtindo wa kufanya mambo kivyaovyao. Sasa ni muda sahihi wa kuwapa Wazanzibar hii nasadi adimu ya Uspika baada ya Uchafuzi Mkuu 2025 ili amlinde Maza vizuri zaidi. Kama Maza hana huo mpango badi ajiandae kwa kipindi kigumu cha maisha yake ndani ya hii miaka 5.
Tulia hapo alipofikia sasa tayari snafikiria top job. Na yeye kuipata hatafanikiwa kuwa kwenye boat moja na Maza. Hivyonitabidi aanze kujitengenezea njia yake bila kumtegemea Maza smvsye hatakuwa maarufu by 2030.
Ushauri wa bure.
No Reform No Election.
Kwani hata huo muungano lazima uwepo. Mbona Shelisheli, Angola, Zambia nk,,,, hawana muungano na mambo yanaenda murua tu. Tunachoshana bure tu.Halafu kama tunasema ni muungano kuna sababu gani zakulazimisha lazima ku balance upande badala yakuangalia wanaofaa? Kuna nyakati tunakosa watubsahihi kwakua tunataka lazima mtu atoke Tanganyika au Zanzibar ?kwanini watu wasichagukiwe based na uwezo wao sio pahala pa asili yao kama Wazenji wana sifa waongoze Rais na makamanu na waziri mkuu na vivyo havyo Kwawatamganyika
No reform No Election