Pre GE2025 2025 CHADEMA kumsimamisha Luhanga Mpina?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Fortilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
5,807
Reaction score
17,416
Kuna mbughi inaenda kuchezwa hapo July - Oct 2025.

Nchi inaenda kusimama kushuhudia kimbembe.

Wambea wa baa ile wanasema TL anamkabidhi kijana wa Kisukuma mwenye ushawish Lake zone kupeperusha bendera yao.

Hii siasa imeka mkao wa kibabe sana ukizingatia Mpina ni Team JPM damu damu.

Bado ukizingatia zaidi ushawish wa Kanda pendwa kwenye siasa za nchi yetu.

Bado kuna nafasi moja KK iliachwa na TL strategically ku absorb game changer

Kama huu umbea utatimia siasa zetu zitachangamka.

Tusubiri tuone.

Pia soma
 
Watu mnapenda kujifurahisha. CDM wamefanya utakaso kwa kumtupa nje Mbowe. Hayo mambo ya kidalali ndio yashaisha hivyo. Mliopo CCM pambaneni ha hali zenu, tena CC itakula vichwa kweli safari hii.
Udalali uko wapi hapo?
 
Unawachagulia mtu wkt chama chenyewe kiko kimya? Unadhani utawauzia mbuzi kwneye gunia kama lowas?
Mkuu wanasiasa wazuri wapo kila chama, hawapo confined kwenye chama kimoja.....

Itikadi na misimamo ikifanana, why not?
 
Kuna mbughi inaenda kuchezwa hapo July -Oct 2025...

Nchi inaenda kusimama kushuhudia kimbembe...

Wambea wa baa ile wanasema TL anamkabidhi kijana wa Kisukuma mwenye ushawish Lake zone kupeperusha bendera yao...

Hii siasa imeka mkao wa kibabe sana ukizingatia Mpina ni Team JPM damu damu ..

Bado ukizingatia zaidi ushawish wa Kanda pendwa kwenye siasa za nchi yetu...

Bado kuna nafasi moja KK iliachwa na TL strategically ku absorb game changer

Kama huu umbea utatimia siasa zetu zitachangamka....

Tusubiri tuone...
Inategemea CDM itashift kiasi gani kuelekea sera za kimagufuli. Yaani chadema irudi kwenye ule msimamo wake enzi ya Dr. Slaa na wampe kugombea mwanajpm Mpina bila shaka watazoa wana ccm wengi na wananchi kwa jumla. CDM wasione aibu kujirudi na kukubali sera za ki-jpm. Mpina akishinda urais chadema itaweza ku transform bila shida kua chama cha ujamaa wa kidemokrasia na kuweka uzalendo katika uchumi ili umma ufaidike na uchumi wa nchi yao. CCM itaachiwa wahuni wanaojaribu kutumia chama cha kijamaa kuendeleza ubinafsi wao kupitia ufisadi. Walitaka kuwauzia bandari zetu waarabu wa dubai na hata baada ya kushitukiwa na wananchi wamekabidhi bandari ya dar es Salaam kwa DP eti wawekeze wakati serikali imeshawekeza mabilioni ya umma. DP wanapewa tu kuvuna mahali hawajawekeza wagawane na vigogo wasaliti nchini. Ni wizi na dhuluma tupu kwa umma wa watanzania.
 
Kuna mbughi inaenda kuchezwa hapo July -Oct 2025...

Nchi inaenda kusimama kushuhudia kimbembe...

Wambea wa baa ile wanasema TL anamkabidhi kijana wa Kisukuma mwenye ushawish Lake zone kupeperusha bendera yao...

Hii siasa imeka mkao wa kibabe sana ukizingatia Mpina ni Team JPM damu damu ..

Bado ukizingatia zaidi ushawish wa Kanda pendwa kwenye siasa za nchi yetu...

Bado kuna nafasi moja KK iliachwa na TL strategically ku absorb game changer

Kama huu umbea utatimia siasa zetu zitachangamka....

Tusubiri tuone...
Amka usije ukajikojolea
 
No reform no election. Msikurupuke kabla ya reforms. Hakuna Mabadiliko hakuna chaguzi
 
Kuna mbughi inaenda kuchezwa hapo July -Oct 2025...

Nchi inaenda kusimama kushuhudia kimbembe...

Wambea wa baa ile wanasema TL anamkabidhi kijana wa Kisukuma mwenye ushawish Lake zone kupeperusha bendera yao...

Hii siasa imeka mkao wa kibabe sana ukizingatia Mpina ni Team JPM damu damu ..

Bado ukizingatia zaidi ushawish wa Kanda pendwa kwenye siasa za nchi yetu...

Bado kuna nafasi moja KK iliachwa na TL strategically ku absorb game changer

Kama huu umbea utatimia siasa zetu zitachangamka....

Tusubiri tuone...
Akitangaza tu kuhamia CDM nachoma kadi ya CCM siku hiyohiyo
 
Embu usijitoe ufaham basi , Mpina ,Mwabukusi, Lissu, Gwajima, Hawa ndio watu pekee Wana Kila kitu ,Uelewa , Ushawishi n.k

Makonda ana ushawishi Kuwazidi hao wote.
Labda kama unazungumzia mitandaoni,nenda vijijni uulizie hilo jina kama utaambiwa wanalijua.lakini sentensi yako ya mwisho ina uhusiano gani na ulichochangia?
 
Lissu alishaandika barua kwa Katibu Mkuu kutangaza nia ya kugombea Urais na hajatangaza kubatilisha nia yake hiyo, hivyo hadi sasa tunamjua Lissu kuwa ndiye atakuwa mgombea wa Urais kupitia Chadema.
 
Back
Top Bottom