2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Chelsea wanacheza na gap za beki 2 na 3

Wakipanda wanaacha gepu wao mpira wanausukuma humo

PSG kaingia mtegoni

Kocha wa chelsea alifanya homework yake vizuri
 
Sahii kabisa, move zinaanzia Kwa hakimi, afu wanaenda kumalizia Kwa Mendez
Chelsea wanacheza na gap za beki 2 na 3

Wakipanda wanaacha gepu wao mpira wanausukuma humo

PSG kaingia mtegoni

Kocha wa chelsea alifanya homework yake vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…