2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Waingereza wanavyopenda Sifa.
Chelsea itaonekana ndio national team.
Wataanza campaign ya we will take it home πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Halafu wanapigwa
Hii tunabeba mkuu 😎
 
Chelsea ndo bingwa wa kwanza wa hii michuano. Sioni utofauti mkubwa kimbinu kati ya Chelsea na PSG. Madrid akifanikiwa kumtoa PSG tutashuhudia pira la hovyo fainali japo mimi ni Madrid dam dam.
 
Nipo upande wa PSG mana ndo namtaka nicheze nae fainali, the blues tuchukue ubingwa mbele ya bingwa wa Ulaya πŸ”₯
 
Leo tujiandae na Dakika 120 + matuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…