Nimeshikwa na ubaridi ghafla.Dah tutaenda kufanya maajabu.
Japo ni ngumu
Umeua...halaaa madride πππππDaah timu yangu inanisikitisha sana sijui na mie niige tabia yenu kutaka kumstaafisha magungu kwa lazima ihamie kwa papaa Perez πππ
Overdose πππHii dose leo haiendani na umri wetu
Pumbavu zaoMi nimelala mkuu naangalia to live score na hivi kuna baridi siwez teseka kuangalia hawa madrid
I can imagineSisi mashabiki wa Dortmund tumefurahi sana
Kama kuna li-timu silipendi hapa duniani ni li-Chelsea. Kombe liende huko PSG.Chelsea anachukua kombe anamfunga psg
ππππHadi mtangazaji anasema "A great team is made to look very ordinary here"
Hatutoboi MKUUHahaaa we jamaa kuwa makini