Kila nikimsikiliza na kumtazama Spokesperson wa Chama cha Mapinduzi Mr Pole pole, ninaona kama vile anasubiria Jambo kubwa limtokee, anaongea Kwa Authority na bashasha kubwa mno, ni kama vile anajua Kesho yake ni njema Sana. Inawezekana mawazo na mtizamo wangu sio Sahihi lakini Kwa mwenendo wa kisiasa ulivyo katika CCM na jinsi inavyoongozwa na current chairman anayependa kuchukua njia tofauti na wengineo, sitashangaa Sana akawa NI YEYE wa CCM.
Fisiemu mbona mnazimika sana na Mapoyoyo? Muda si mrefu hapo mlikuwa mnazuzuka na Bashite Eti, hadi Mama Salma naye akaanza kumfagilia Kumbe walikuwa na jambo laoKila nikimsikiliza na kumtazama Spokesperson wa Chama cha Mapinduzi Mr Pole pole, ninaona kama vile anasubiria Jambo kubwa limtokee, anaongea Kwa Authority na bashasha kubwa mno, ni kama vile anajua Kesho yake ni njema Sana. Inawezekana mawazo na mtizamo wangu sio Sahihi lakini Kwa mwenendo wa kisiasa ulivyo katika CCM na jinsi inavyoongozwa na current chairman anayependa kuchukua njia tofauti na wengineo, sitashangaa Sana akawa NI YEYE wa CCM.
Yaani wivu unamsumbua tu huyo! Ha ha haa ha aa! Polepole ni kijana 'very orginised'! Heko kwake.Hahaha... seriously?!