kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Kabla ya kuingia 2025 ilibidi nihudhurie mkesha wa Vuka na Chako kwa mtume Mwamposa
Na nilitamka kwa sauti kubwa sana nikiamini huu mwaka navuka na changu.
Asee meza imepinduka ndugu yenu nimepigwa katafunua nilitegemea nitavuka n mpenzi wangu asee sijavuka nae kavuka na chinga wa dunia.
Nina upweke na ukata wa hapa na pale, yale madeni ya 2024 nimevuka nayo na wadeni wananidai vibaya mno natamani kukimbilia Malawi ila sina nauli
Kile kibarua nilichokuwa nacho 2024 sijavuka nacho asee boss kanuna biashara ngumu kafunga ofisi naendelea na harakati za kiugonga ulimbo.
kiufupi geto langu naliogopa maana lina maji ya kunywa tu na kiroba cha unga hela ya gesi tu inanipiga chenga waweza hisi ni masikhara ila sio masikhara.
Sifikirii kujinyonga ila nahisi akili haipo sawa nahitaji mwanasaikolojia jahazi kabla halijazama