2025 jimbo la Tandahimba litakuwa la kwanza kubebwa na wapinzani

Umeongea ukweli mtupu mkuu. Si unaona hata mteule wa Rais naye anawakandamiza wananchi kwa kubariki huu unyama wa hawa askari akina Tesha.
 
Kama CCM hawslitaki litabebwa. Lkn Kama wanalitka, watatumia medani za wizi wa dola
 
Kama CCM hawslitaki litabebwa. Lkn Kama wanalitka, watatumia medani za wizi wa dola
Wenyewe wanaujua mziki wake. Hawatasahau kipigo walichokipata uchaguzi mkuu wa 2015. Kilikuwa cha paka kidokozi hasa.
 
Reactions: G4N
Wenyewe wanaujua mziki wake. Hawatasahau kipigo walichokipata uchaguzi mkuu wa 2015. Kilikuwa cha paka kidokozi hasa.
Umeonaeee, huyu DC mwache ajichekeshe na hawa wahuni akina Tesha. Atakuja kujuta kwa tamaa za fedha kiduchu za kunywea pombe pale ghorofani.
 
Huko ni nyumbani kwa Konde Boy.Mcheki kwa simu , mpe ishu yote....yeye ana connection na ikulu hivyo ujumbe utafika dk sifuri....IAM SERIOUS
 
Hakuna wa kutushinda popote hatutishwi na nyau. CCM popote inashinda au kupita bila kupingwa allah. Hili lazima liwaingie kichwani.
 
Hakuna wa kutushinda popote hatutishwi na nyau. CCM popote inashinda au kupita bila kupingwa allah. Hili lazima liwaingie kichwani.
Kwahiyo ndo maana hawa polisi kwa kushirikiana na wateule wa Rais wanaona ni vema tu kuwatesa wapiga kura wao? Leo hii amekamatwa hata diwani wa kata ya hapa mjini mzee Chipande akiwa anatoka kufuatilia ujenzi wa madarasa unaoendelea kwenye shule ya sekondari Nandonde.
 
Mbona mwaka jana ilikuwa rahisi? 2025 ugumu unatoka wapi? Police, Tume, DED, DC(kamati ya ulinzi na usalama) wote ni CCM kuna jipya hapo?
Wapinzani watabadili mbinu na watatafuta namna nzuri ya kukabiliana na hujuma. Huwezi jua mkuu.
 
Huko ni nyumbani kwa Konde Boy.Mcheki kwa simu , mpe ishu yote....yeye ana connection na ikulu hivyo ujumbe utafika dk sifuri....IAM SERIOUS
Sina namba yake mkuu, kama unayo nitumie DM nimtwangie fasta, ndugu zake wanateseka sana mkuu.
 
Unaandika ukiwa wapi?
Wasalimie Chitoholi.
 
Siko Chitoholi wala sipo Mikunda, me nko hapa mjini mkuu. Naishi hapa Majumba saba.
Anhaaa...sawa sawa! Huko wachawi sana nilipoteza marafiki zangu wawili hapo Halmashauri, walikuwa wahasibu. Alianza mshikaji wangu Mayala akafuatia Minja.

Daaah nimewakumbuka aisee.
Hiyo ni kipindi cha Njovu akiwa Mkurugenzi.
 
Yaani hao polisi ni hatari sana. Wamemsulubu hata Diwani!?
 
Kuna kipindi Police walihamishwa mtaani wakawa wanaishi kwenye kambi pale kituoni kama wakimbizi.
Wanasahau tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…