Pre GE2025 2025 Mbunge gani Hautamani arudi bungeni na sababu ni ipi?
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,010
Habari .

Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu?

Gwajima Hakuna alichofanya kawe.

Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki.

Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa.

Karibu tujifunze kitu.
 
Gwajizo atuache kidogo kawe,, ajikite Zaidi kwenye kufufua wafu huko kanisani kwake kama kauli mbiu yake inavyojinasibu, ufufuo na uzima....
 
Habari .

Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu?

Gwajima Hakuna alichofanya kawe.

Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki.

Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa.

Karibu tujifunze kitu.
Wote wasirudi
 
Babu Tale na Salma KK wa mchinga...
Gwajiboi
Waziri wa Ndarama
Na yeyote ambaye hajawahi uliza swali ndani miaka hii miwili.
 
Kwa Bunge hili hata wasiporudi wote mie naona Sawa tu
 
Habari .

Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu?

Gwajima Hakuna alichofanya kawe.

Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki.

Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa.

Karibu tujifunze kitu.
Hatari
 
Habari .

Mbunge yupi unatamani Usione sura yake Bungeni mwaka 2026.

Nitajie watatu bila sababu.

°Mwigulu nchemba
°Askofu Gwajima
°Taletale
 
Back
Top Bottom