Ujinga mtupu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2017 Posts 887 Reaction score 2,010 Mar 31, 2024 #1 Habari . Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu? Gwajima Hakuna alichofanya kawe. Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki. Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa. Karibu tujifunze kitu.
Habari . Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu? Gwajima Hakuna alichofanya kawe. Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki. Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa. Karibu tujifunze kitu.
Nyonzo bin mvule JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 2,428 Reaction score 6,929 Mar 31, 2024 #2 Gwajizo atuache kidogo kawe,, ajikite Zaidi kwenye kufufua wafu huko kanisani kwake kama kauli mbiu yake inavyojinasibu, ufufuo na uzima....
Gwajizo atuache kidogo kawe,, ajikite Zaidi kwenye kufufua wafu huko kanisani kwake kama kauli mbiu yake inavyojinasibu, ufufuo na uzima....
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Mar 31, 2024 #3 Gwajiboi
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Mar 31, 2024 #4 Tulia Ackson HATAKIWI Mbeya
A Allyoki JF-Expert Member Joined Mar 23, 2007 Posts 289 Reaction score 181 Mar 31, 2024 #5 Ujinga mtupu said: Habari . Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu? Gwajima Hakuna alichofanya kawe. Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki. Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa. Karibu tujifunze kitu. Click to expand... Wote wasirudi
Ujinga mtupu said: Habari . Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu? Gwajima Hakuna alichofanya kawe. Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki. Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa. Karibu tujifunze kitu. Click to expand... Wote wasirudi
greater than JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 1,653 Reaction score 3,060 Mar 31, 2024 #6 Babu Tale na Salma KK wa mchinga... Gwajiboi Waziri wa Ndarama Na yeyote ambaye hajawahi uliza swali ndani miaka hii miwili.
Babu Tale na Salma KK wa mchinga... Gwajiboi Waziri wa Ndarama Na yeyote ambaye hajawahi uliza swali ndani miaka hii miwili.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Mar 31, 2024 #7 Wabunge wote wa ccm na serikali yake.
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,828 Reaction score 2,637 Mar 31, 2024 #8 Kwa Bunge hili hata wasiporudi wote mie naona Sawa tu
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 Mar 31, 2024 #9 Wabunge wote wa ccm
sinaham Member Joined Mar 31, 2024 Posts 76 Reaction score 90 Mar 31, 2024 #10 Ujinga mtupu said: Habari . Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu? Gwajima Hakuna alichofanya kawe. Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki. Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa. Karibu tujifunze kitu. Click to expand... Hatari
Ujinga mtupu said: Habari . Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu? Gwajima Hakuna alichofanya kawe. Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki. Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa. Karibu tujifunze kitu. Click to expand... Hatari
Utawala2025 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2023 Posts 1,144 Reaction score 2,755 Jun 25, 2024 #11 Habari . Mbunge yupi unatamani Usione sura yake Bungeni mwaka 2026. Nitajie watatu bila sababu. °Mwigulu nchemba °Askofu Gwajima °Taletale
Habari . Mbunge yupi unatamani Usione sura yake Bungeni mwaka 2026. Nitajie watatu bila sababu. °Mwigulu nchemba °Askofu Gwajima °Taletale